Sale!
, , ,

Mitihani ya Kiswahili Gredi 4 – Mazoezi ya CBC

Original price was: KSh 1,000.00.Current price is: KSh 0.00. Ksh:

Jipime kwa mitihani 10 ya Kiswahili ya Gredi 4. Inajumuisha maswali ya kusoma, sarufi, na insha kulingana na mtaala wa CBC

✔ Mitihani ya miaka 2020-2023.
✔ Majibu yaliyoandikwa kwa uangalifu na walimu.
✔ Maelekezo ya jinsi ya kukabiliana na kila aina ya swali.
Inasaidia wanafunzi kujiandaa kwa mitihani ya shule!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mitihani ya Kiswahili Gredi 4 – Mazoezi ya CBC”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top