Aina Kuu za Maneno katika Kiswahili
Aina ya Neno | Maelezo | Mfano |
---|---|---|
Nomino | Ni maneno yanayotaja majina ya watu, vitu, wanyama, mahali | mtoto, nyumba, simba |
Kitenzi | Neno linaloonyesha kitendo au hali | kula, imba, pumzika, |
Vivumishi | Neno linaloeleza kuhusu nomino au kiwakiishi chake zaidi | mzuri, mrefu, mweupe |
Viunganishi | Ni maneno ambayo uunganisha neno na neno lingine au sentensi na sentensi nyingine pamoja | na, lakini, au, wala |
Viwakilishi | Ni maneno ambayo huchukua nafasi ya nomino katika sentensi | yeye, wao, sisi wao, yule |
Vielezi | Hueleza kitenzi zaidi (namna, wakati, mahali) | haraka, jana, hapa |
Vihusishi | Huonyesha uhusiano kati ya maneno | juu ya, kati ya, kwa |
Vitamkwa | Hutoa hisia au sauti ya mshangao | jamani!, lo!, aah! |
Kivumilia | Hueleza nomino kwa idadi au kiasi | wote, baadhi, wengi |